Mtu akikwambia kwa hasira ujue ana maanisha,hasira huonyesha mtazamo wa mtu juu yako,yaani hukuonyesha picha mbili,unayoijua na usioijua kuhusu yeye na anavyokufikiri ktk mitazamo 2.so maneno ya hasira yanapotoka hata kama akijilaumu anajilaumu kwanini amekuambia ktk hali ya hasira,au kwanini umeyajua....so take care yale maneno ya hasira yatafakari ktk macho 3.ili ujue wanaokupenda wanakuambiaga mazuri tu,wasio kupenda wanakuambia mabaya,so ukiambiwa kwa hasira dadisi ni kwanini umetamkiwa,na je kuna ukweli ndani yake?jibu utakuwa nalo.....