Ivi ili suala la KITANZI ni kweli au watu wanazusha tuu!Ile ya wachina haikuwa hiari ya serikali yetu, ilikuwa ni kuokoa jahazi mtu asitiwe kitanzi
Ni kutokana tofauti kubwa ya kimapokezi ya wakuu wa nchi kati ya Rais wa China na Amerca,kuanzia Ikulu usafi wa mazingira,barabara kudekiwa,kusikika live kwenye Tv.Je mambo haya hayakuwabagua wakubwa hawa?
Kwani wachina walisema wanataka kumlinda rais wao wakakataliwa? Hilo la kwanza. La pili. Je, huyu wa China alialikwa au alijialika? Nauliza kwa kuwa taarifa zake hazikusambaa kma za headboy. Hata hivyo China inapaswa kufahamu Marekani ni kaka yake.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Ile ya wachina haikuwa hiari ya serikali yetu, ilikuwa ni kuokoa jahazi mtu asitiwe kitanzi
Ni kutokana tofauti kubwa ya
kimapokezi ya wakuu wa nchi kati ya Rais wa China na Amerca,kuanzia
Ikulu usafi wa mazingira,barabara kudekiwa,kusikika live kwenye Tv.Je
mambo haya hayakuwabagua wakubwa hawa?
Njowepo, hebu soma hapa. Rais Jakaya Kikwete aiweka nchi rehani kumuokoa mwanae asinyongwe China. | Jason BourneIvi ili suala la KITANZI ni kweli au watu wanazusha tuu!