Hii inamaanisha nini

[emoji23] [emoji23] Yan kama hujaelewa hyo humor hapo, ndo maana umekuja kuuliza huku inamaanisha nini.

Punguza kuwa serious sana na maisha mdogo wangu.
Just like that?
Mwanaume unatakiwa kupambana sio kutengewa tengewa mezani

Sent using .... who cares anyway

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…