Hii inaboa sana...mmelazimishwa?

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,602
Reaction score
3,782
Jamani kinadada hakuna kitu kinaniboa kama hizi lipshine na lipstiky yaan mkishazipaka baada ya muda kidogo huwa kuna utando mweupe ka maziwa mgando hutokea kwenye lips hasa asipoongea kwa muda yaani huwa nasikia kinyaaa na kutapika.khaaaaa yaan inaboa. kwan urembo haukamiliki bila kupaka hizo lipshine.

sipendi,nasema tena sipendi mnakera sana.
 
Pole sana bro. Mimi nahisi vya aina hivyo ni feki (vya kichina) au vime - expire. Mbona wengine wanapaka na hawawi hivyo?
 

 
Pole sana bro. Mimi nahisi vya aina hivyo ni feki (vya kichina) au vime - expire. Mbona wengine wanapaka na hawawi hivyo?

mkuu chunguza au angalia picha alizopost tyta
 
ni jinsi ya upakaji tu mbona? unapaka kiasi na hizo zinazoacha utando ni feki
 
Mkuu Tyta nimekukubali, inaelekea una library ya picha za vitimbi. Tehtehteh!!!
 
In beauty you have to go the extra mile. Once you settle for cheap products then know there is a price to pay.
 
Tyta ni noma!
Hawa na lipshine zao ukikutana nao usiku makaburini Kinondoni lzm utoke mbio utahisi ni "nsyuka"!Wanawake hawa wanatisha mno mweeeh
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…