GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,421
- 120,745
Kwamba eti......
- Ukijiunguza na Pasi usiposikia ule moto au maumivu basi ni jibu tosha kuwa una Kisukari?
- Ukijikata ama na Kisu au Wembe kwa bahati mbaya kisha hiyo sehemu au hicho Kidonda kisipofunga / ziba ndani ya Siku 3 hadi Siku 5 basi tayari una VVU / UKIMWI a.k.a Dally Kimoko? au ukiugua Malaria halafu ukanywa Fansida na huponi pia ni dalili kuwa umeshaathirika na Ngwengwe / Ukimwi?