Sasa unachelewaje mpaka mkutane? Mtu ambae hamjawahi kuonana hua unatakiwa kumtanguliza kwanza, kama n sehem ya kukutana unahakikisha unawahi na kujificha ili uone kwanza alivyo.
Kama ukipendezwa, then unatokea, kama sivyo chapa bloku.
Me ilishantoke na alikua kipofu(ukonga) nikawa sina namna ila ni mwanamke kweli na ana mali...me nlishaondoka dar kitambo lakn akinikumbuka anatuma nauli namfata,NAMKAZA
Ilinipata hiyo, alikuw na sauti nzuri hatari. Kuja siku nikutane nae pale maeneo ya Mwenge enzi hizo 2012, nikajibanza kwanza sehemu nimcheki kwa mbali kuja kubaini... Dah... Nilichoka mtu wangu. Yani kidogo nigeuze, ila tu nkaona siyo kesi. Nikamfuata tuakenda sehemu tukakaa sehemu tukaongea huku tunapiga soda kidogo, then nkasepa zangu kurudi. Nikawa nampotezea mdogo mdogo... hadi ikawa over...