Hii imetokea manyara [Gallapo]

Triple A

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2011
Posts
766
Reaction score
148
jamaa moja amekutwa kwenye zizi la ng'ombe akifanya malavidavi na punda jike,
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo majira ya saa 4 usiku,
Inasemekena kwamba huyo jamaa si mara yakwanza kukamatwa akiwagegeda wanyama hawa wenye kubeba mizigo mizito,
[tulishawahi kumkamata huyu jamaa gedamara anafanya mapenzi na punda akapigwa faini sasa leo tena karudia ?] alisikika jamaa moja ktk tukio hilo kwamba jamaa nikawaida yake kulamba hivi viumbe!
sos mm mwenyewe nilikwepo eneo la tukio ila nilishindwa kupata picha.
 
Kwanini hujaweka picha? Si nakuuliza wewe?

Hata hivyo binadamu kumgegeda punda jike ni kama kumtia shombo tu, kum-beep tu, amezoea punda mwenzie kigongo!
 
najiuliza huyu jamaa nikwamba anaogopa wanawake au pumba ni mtam sana kuliko mwanamke?
 
Mambo hayo mbona yapo sana!! watu kujipinda na wanyama sio mageni banah!! huyo amekuwa addictive na viumbe hivyo!!
 
Kwanini hujaweka picha? Si nakuuliza wewe?

Hata hivyo binadamu kumgegeda punda jike ni kama kumtia shombo tu, kum-beep tu, amezoea punda mwenzie kigongo!

nimeshindwa kupata picha kwan kulikuwa na giza afu kamchina kangu hakana flash!
 
apewe councelling then akafanyiwe maombi!! spiritual councell and deriverence!! may be atafunguka!!
 
Mkuu! Triple A; Maandiko matakatifu yanasema"Ole wake mtu yeyote alalaye na mnyama" na bila shaka huyu ndugu kwa mtazamo wangu hakika nakwambia hana akili nzuri...........kwa ujumla yake itakuwa ngumu!


najiuliza huyu jamaa nikwamba anaogopa wanawake au pumba ni mtamu sana kuliko mwanamke?
 
Last edited by a moderator:
Kwanini hujaweka picha? Si nakuuliza wewe?

Hata hivyo binadamu kumgegeda punda jike ni kama kumtia shombo tu, kum-beep tu, amezoea punda mwenzie kigongo!

nimeshindwa kupata picha kwan kulikuwa na giza afu kamchina kangu hakana flash!
 
Mambo hayo mbona yapo sana!! watu kujipinda na wanyama sio mageni banah!! huyo amekuwa addictive na viumbe hivyo!!

mi nishawah kuskia ya mbuzi lkn punda ni noumar!
 
Mkuu! Triple A; Maandiko matakatifu yanasema"Ole wake mtu yeyote alalaye na mnyama" na bila shaka huyu ndugu kwa mtazamo wangu hakika nakwambia hana akili nzuri...........kwa ujumla yake itakuwa ngumu!

si ngumu tu, itakuwa ngumu sana!
 
Last edited by a moderator:
Fornication! Wakati Mungu akiumba mwanadamu sijui kama hii ilikuwa sehemu ya mpango.wake!
 
Fornication! Wakati Mungu akiumba mwanadamu sijui kama hii ilikuwa sehemu ya mpango.wake!

labda kaona bora punda kuliko mwanamke sometime maudhi kibao so hataki kuumiza kichwa mwanawane!
 
Jamaa atakuwa sugu balaa!! alihimili mateke yale, daah! kwa hiyo punda atakuwa akimuona mshkaji anamrembulia !!!!!??
 
Alama za mwisho wa ufikiri wa wanadamu
 
Gedamara "MLA nyandu ya PUNDA"
 
apewe councelling then akafanyiwe maombi!! spiritual councell and deriverence!! may be atafunguka!!

nakubaliana na wewe mkuu. Huyo ana sexual disorders zinazompelekea kutamani kufanya mapenzi na wanyama hiyo inaitwa masochism disorder (sorry km nmekosea spelling).
Mtu km huyo hata umfunge miaka mia hataacha tabia hiyo mpk awe treated psychologically. Mfano wanaobaka watoto wadogo wana sexual disorder inayoitwa pedophilia, hawa pia bila kuwa counseled hawawezi kuacha tabia hiyo.
 
Hhahahhaha
hii ni laaana kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…