Niliitwa intavyuu ofisi
flani. Tulikuwa wawili tu tunaofanyiwa intavyuu hiyo.
Mimi nilikua wa kwanza. Nilijibu maswali kwa ufasaha na mwajiri
akanikubali. Kwanza kunionyesha itakayokua ofisi yangu. Baadae
akanitembeza kuona sorroundin ya kampuni. Tukaenda mpaka factory na
store huku bosi huyo akionesha akanikubali. Akanipeleka yard akanionesha
magari mapyaa akisema haya ni kwa mastaff zangu wapya. Kimoyoni
nikapewa yees mzee mzima nimeshaukata. Tukarudi tena ofisini akaniuliza
anilipe sh ngapi nikamtajia Sahara yetu ya dijiti sita tu. Bosi
akionesha mshtuko na akaniuliza vipi akiongeza hapo nkamwambia na
appreciate zaidi.basi tukaagana akanambia Ngojea nimwintavyuu huyu
mwingine afu atanijulisha lini nijeanza kazi.
Baba nikakaa nasubiria sim hola siku zaenda tu.
Mzee mzima ikabidi niluke hewani kuulizia. Nikajibiwa you are not
selected! Daah imeniuma ase.
Niliitwa intavyuu ofisi flani. Tulikuwa wawili tu tunaofanyiwa intavyuu hiyo.
Mimi nilikua wa kwanza. Nilijibu maswali kwa ufasaha na mwajiri akanikubali. Kwanza kunionyesha itakayokua ofisi yangu. Baadae akanitembeza kuona sorroundin ya kampuni. Tukaenda mpaka factory na store huku bosi huyo akionesha akanikubali. Akanipeleka yard akanionesha magari mapyaa akisema haya ni kwa mastaff zangu wapya. Kimoyoni nikapewa yees mzee mzima nimeshaukata. Tukarudi tena ofisini akaniuliza anilipe sh ngapi nikamtajia Sahara yetu ya dijiti sita tu. Bosi akionesha mshtuko na akaniuliza vipi akiongeza hapo nkamwambia na appreciate zaidi.basi tukaagana akanambia Ngojea nimwintavyuu huyu mwingine afu atanijulisha lini nijeanza kazi.
Baba nikakaa nasubiria sim hola siku zaenda tu.
Mzee mzima ikabidi niluke hewani kuulizia. Nikajibiwa you are not selected! Daah imeniuma ase.

Pole sana, ukiona hv jua mwenzio ndio alikua bora zaidi yako kama ulionyeshwa mzingirz ya offis bas mwenzio ilikua zaidi ya hapo laa angekwwambia anza kazi leo bila ya subiri nitakujulisha siku ya kuanza kazi. Jipange , mshukuru Mungu then songa mbele utafanikiwa.Niliitwa intavyuu ofisi flani. Tulikuwa wawili tu tunaofanyiwa intavyuu hiyo.