Ni kwa kipindi kirefu nmefanya uchunguz wa kina sana na nmegundua kitu lakin sijajua kwann inakuwa hvyo? Nmefanya uchunguz nmegundua kuwa askari polis wengi wanapendwa sana na machangudoa au ni marafiki sana wa machangudoa. Au ndio ile mtazamo wa watu wengi kuwa askar polis ni malaya?