Kweli mkuu labda nifanye hivyo nimkaushie kwanza nisubiri akijipendekeza nimtoe out1.Huna nia ya kumuoa (wewe unataka uchomoe betri tu usepe ),
2. Anataka akulinganishe tu na jamaa wa mwanzo
3. Huwezi kwenda kujitambulisha kwa dadake.
Mkaushie tu ila akikutafuta mpe mtoko wa out, akichomoa tu achana naye.
Unamtamani tamaa zikiisha utamuona mbaya sana, muache tu kama hauna upendo na malengo naeDaah mkuu kweli kashtuka huyu namkosa mtoto mzuri kwelii
Nampenda mkuu ni katoto kazuri sana
Nampenda mkuu ni katoto kazuri sana
Kwan hulagi? Muache bint wawatuDaah kumuacha bila kula mzee?