Kama mwanamke najib swal lako nikufahamishe kwann anatangaza vile hata kama amekuchomolea,yaan kama kujisifu kama yy anapendwa,mzuri,ana vutia kujisifu kwa mwenzie/wenzie kama yy ndio kaoneka mzuri ndio maana katongozwa mwenzie/wenzio hawajaonwa maana wanawake sisi tukiona tunatongozwa tunajiona wazuri.yaan hata mm japo ke lakini siipendi hii tabia utakuta wanawake/wasichana wengne akipita mwanaume yule ananitaka kila mwanaume mara yule alikuwa ananitaka mara kanitongoza bhasi mm [emoji34] ushamba tyuuuuu.