Kuna kesi mbili mwaka huu zimetokea nakumbuka kesi moja ni pale kigamboni kwamba mwanamume ameua mke wake sababu ya mapenzi,kesi ya pili ni pale mkuranga mwanaume mmoja ameua mke wake na kumzika pembeni kidogo katika nyumba yao,sasa kwa nini nimeandika haya kijana sikiliza ukitaka kuishi maisha mazuri na mpenzi wako ,mke wako ,mume wako tambua hivi narudia tena tambua hivi HAKUNA MWANAMKE WA PEKE YAKO na HAKUNA MWANAUME WA PEKE YAKO kinachofanyika ni kudharau tu pia haya mambo yapo kutoka dunia hii kuumbwa,baba yako inawezekana ni mchepuko ilitokea mama yako amechepuka hata wewe jiangalie hapo kwenu au kwenye ukoo wako inawezekana baba yako sio huyo ambaye unayo kwa cha msingi haya mahusiano ya utandawazi ni kuchukulia powa lakini ukisema eti mimi nimehonga gari ,nimemnunulia chupi nyeupe hiyo kwa mwanamke wa utandawazi ni kitu kidogo sana kwake ,mwambie avumilie tu .