Habari wadau. Jumamosi ya 22/8/2015 nilifanikiwa kuhakiki kitambulisho changu (BVR) kupitia http://voters.nec.go.tz:8081/vote/search/execute_search. Lakini leo jumatatu nikihamasisha wengine wafanye hilo zoezi online hii link haifunguki.
Uchaguzi mwaka huu full majanga.
Ushauri kwa tume. achieni hii link. vinginevyo mmazidi kupoteza trust ya watanzania