Mtaacha lini kulalamika,yaani ujue pamoja na bima yako ya afya kuna huduma nyingine zahanati hazipo kama hiyo ya maabara unakuta kituo kina darubini ila serikali haijaajiri mpimaji sasa kwa taadhima kamati ya afya ya zahanati kwa kushirikiana na uongozi wa serikali ya mtaa wanaamua jinsi ya kuboresha huduma kuwa ni labda kuajiri mtu sasa atalipwaje ndio linakuja suala la mwananchi kuchangia baadhi ya vipimo na sio vyote sasa itategemea unapima nn na nn ndio gharama zako zitakavyokua na fahamu pia huko zahanatini sio kila kipimo utakacho kupima serikali ina-supply...big no,ni hizohizo gharama mchangiazo ndio hufanikisha yote hayo sasa msitake kugeuza zahanati kuwa refferal hospital,Afya yako msingi wako sasa cheza na huu ubure unaohubiriwa majukwaani bila kufahamu uhalisia wake na pia kila upatapo tatizo huko uliza hapohapo utafafanuliwa vizuri sana kuliko kila kitu mtandaoni hata kama kuna utandawazi