Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,306
- 271,601
Huyu hapa ni Mtu mwenye Ulemavu aliyepambana kusogea hadi Jukwaa Kuu ili Kuchangia Tone Tone ya Chadema, Michango ya Tone tone inawezesha Chama hicho kujiendesha, kununulia mafuta ya magari ili Viongozi waweze kufika kila kijiji
Imezoeleka kwamba Mara zote Walemavu wamekuwa watu wa kupewa zaidi kuliko kutoa, ndio maana wengi wameshangaa
Imezoeleka kwamba Mara zote Walemavu wamekuwa watu wa kupewa zaidi kuliko kutoa, ndio maana wengi wameshangaa