Shukran Soma mkuu,umetoa SoMo zuri Sana hasa hasa mistari miwili ya mwisho,wachepukaj wote nawaomba wasome hapa ili wapate somoFocus kwenye Kilichokusababisha uchepuke
-Usichepuke TU ili mradi kuiga iga kama vile uchepukaji umefanya ni fashion
-Usichepuke kwa hisia mpk ukababaishwa na urembo wa Mchepuko mpk kufikia kumshushia thamani hadharani mkeo ulomuweka ndani. It's better Mengine yabaki TU kifuani mwako Kama mwanaume.
- Unapochepuka jua kabisa mke Ni wakudumu na Mchepuko Ni wakupita.
Usiwekeze sana ukajisahau na ujue Kuna uzima na maradhi.
Hakuna mwanaume anakwenda kuugulia kwa Mchepuko, wote tukiugua au kufilisika tunarudi kwa mama mjengo.
Hili swali angeweza kujibu the late mchepuko wa Monica MasanjaWadau nianzie upande wa wanaume, imagine umepata mchepuko mzuri na mwenye shape + chura kuzidi mkeo, yaani siku ukikutana na huo mchepuko mahaba yananoga hasa hasa ukilinganisha na wife wako unaona kabisa wife kazidiwa.
Na hii hali imepelekea wanaume wengi sana kuvuruga ndoa zao, pia wengine waliamua kuwa na nyumba ndogo, na baadhi hupiga kisirisiri hadi wanasababisha mimba na mimba hizo huzikataa kwa kuhofia usalama wa ndoa zao.
Sasa nini kifanyike ili kumshinda huyu shetani? Hata kwa upande wa wanawake nako ipo vile vile, unakuta unapokuwa kwa mchepuko mapenzi yananoga ukiwa na mmeo hata huna hamu naye. Nini kifanyike wadada?
Kiukweli mpaka unaamua kuoa ulikua unajua nini unafanya. Shetani msimtaje. Mungu amekupa uwezo wa kuchagua. Unajua uzinzi ni dhambi na unaufanya..your choice.Wew una shauri nin ??
Nimekupata mkuu!!Kiukweli mpaka unaamua kuoa ulikua unajua nini unafanya. Shetani msimtaje. Mungu amekupa uwezo wa kuchagua. Unajua uzinzi ni dhambi na unaufanya..your choice.
By the way Mungu aliekuumba, amekupa pumzi, anakupa uzima..wengine mna bahati mnapewa mke mwema, Mungu anakulinda na kukupa uponyaji ukiumwa...lakini humuheshimu unafikiri utamheshimu mkeo???? Sio rahisi.
Ili kumpenda na kumuenzi mke lazima udumu na kukaa katika Imani. Kumshinda shetani wa kuchepuka lazima uwe unasali na kujaa hofu ya Mungu ama kuswali sana.
My take: we chepuka tu m*** si yako bwana, hela si zako, ujana si wako. Do what you want. Hata kumi kuwa nao. Mke kitu gani mkuu...mke si makombo ambayo mkishafulia na kuumwa ndo mnarudi. Its your choice
Napenda sana familia yangu mkuu.Wew haijawah kukutokea mkuu??