thobias ngosha
Member
- Jul 14, 2015
- 47
- 6
kila kukicha makada wanakimbia na leo tena wawili huko moshi wamekimbia na kuja ukawa mie sisemi heti wameamia cdm bali nasema ukawa.. nimemsikia nape heti wanakimbia kwa sababu binafsi ila nazani ametumwa aseme hvo tyu hana lolote ila ni katika kujipa moyo tyu. katika mbinu za kivita hata akitoroka askari mdogo tyu kwenda upande wa adui basi tayari vita ishakuwa ngumu kwa upande wako.. NAPE ccm inakufa wewd endelea kuwaponda hao waliochoka na ukilitimba wenu na kuamua kujiondokea zake