mkono wa nyoka JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 334 Reaction score 54 Oct 24, 2015 #2 kichwa cha mbele kipo hayo ya nyuma hayapo
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,828 Reaction score 12,321 Oct 24, 2015 #3 Kwa barabara gani?
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,092 Reaction score 7,236 Oct 24, 2015 #4 Pair za tairi naona kama zipo 28.... hivi kwani hicho kilichobebwa kilishindikanika kuunganishwa hapo kinapotakiwa kuwekwa...?? Naona kama mbinu ya zamani sana kusafirisha zigo lote hilo kwa mkupuo wakati wanaweza kufanya assembling eneo la tukio.
Pair za tairi naona kama zipo 28.... hivi kwani hicho kilichobebwa kilishindikanika kuunganishwa hapo kinapotakiwa kuwekwa...?? Naona kama mbinu ya zamani sana kusafirisha zigo lote hilo kwa mkupuo wakati wanaweza kufanya assembling eneo la tukio.
D delp New Member Joined Jul 30, 2015 Posts 2 Reaction score 0 Oct 24, 2015 #5 MeinKemp, huo mtambo kuunganishia kiwandani ni bei rahisi, kuliko kuunganishia sehemu inayotakiwa Last edited by a moderator: Jan 4, 2016