maheda0756
Senior Member
- Oct 27, 2016
- 107
- 160
kwa maelezo yake msomi huyu ana nukia papuchi tu hapo alipoKwa mawazo haya Tanzania ya viwanda itachelewa sana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
umeamua kukufuru au? unamfanya aliye weka sheria hana akiri au? subili baraha lake! other wise uokoke!Duh sijui hii kitu ni kwangu tu au ata kwa Nyie ndugu zangu inawakuta?
Katika kipindi changu chote tangu nikiwa chuo nimekung'uta papuchi kibao sanaaa mpaka kuna wakati mafikiri ktk zile sharia ku za Mungu kumi basi hii ya [/b] USIZINI [\b] lazima niwe na Dhabi nyingi kuliko zingine zote, najua siko peke yangu tupo wengi Sanaa maana hili kosa haliepukiki, ukizingatia siku hizo dada zetu wenyewe wamekuwa wepesi zaidi ya Maharage ya mbeya ukigusa tu unapewa tena ukiwa na kausafiri hapa mjini afu unaishi kigeto geto utawala mpaka Unye!!!
Sometime najiuliza mimi ndiye nakula wachovu au dada zetu nao wamekuwa miteremko sana!!
lakini mwisho wa siku narudi kwenye Ombi langu hii Dhabi Mungu aichomoe kwenye zile Amri kumi zake maana wazinifu ni wengi kuliko wezi!!
# free Maxence Mello
[HASHTAG]#free[/HASHTAG] G lema
[emoji111] [emoji111] [emoji121] ben saanane.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Aisee mkubwa ukung'utaji upo wa aina nyingiHaukupata mafua ulivyokuwa ukizikung'uta?
(Nawaza vumbi lililokuwa likitoka)
kuokoka ndio nini? kwa sababu kuokoka uko wa aina nyingik
umeamua kukufuru au? unamfanya aliye weka sheria hana akiri au? subili baraha lake! other wise uokoke!
KUKUBALI KUACHA DHAMBI NA KUMFUATE YESU KRISTO, UKU UKIMUAMINI KUWA NDIYE BWANA WAKO NA NDIO MOKOZI WAKO, BILA YEYE HUWEZI KUSHINDA DHAMBI,BILA YEYE HUWEZI KUINGIA MBINGUNI, KWAKIFUPI, KUMPA YESU MAISHA YAKO AWE ANAYA CONTROL...KUOMBA KWAJINA LA YESU,KUMTII YEYE NA KUZISHIKA AMRI ZAKE.kuokoka ndio nini? kwa sababu kuokoka uko wa aina nyingi
kwani Mbingu iko sehemu gani? na nani aliyefika mbinguni na kuja na taarifa za mbinguni?KUKUBALI KUACHA DHAMBI NA KUMFUATE YESU KRISTO, UKU UKIMUAMINI KUWA NDIYE BWANA WAKO NA NDIO MOKOZI WAKO, BILA YEYE HUWEZI KUSHINDA DHAMBI,BILA YEYE HUWEZI KUINGIA MBINGUNI, KWAKIFUPI, KUMPA YESU MAISHA YAKO AWE ANAYA CONTROL...KUOMBA KWAJINA LA YESU,KUMTII YEYE NA KUZISHIKA AMRI ZAKE.
Tena hufanya jambo la kuangamiza nafsi yakeAziniye na mwanamke hana akili kabisa.
Mithali 6:32
Hahahhaahha kiongozi hakika you made my day, dah...Haukupata mafua ulivyokuwa ukizikung'uta?
(Nawaza vumbi lililokuwa likitoka)
Thread yenyewe inaonesha alie ileta ni zyapunga kabisaTena hufanya jambo la kuangamiza nafsi yake
Dadiyo naye....?Aziniye na mwanamke hana akili kabisa.
Mithali 6:32
Unafahamu uzinzi/ zinaa ni nini?Dadiyo naye....?