Mdogo wako ni wa kike au wakiume?Nimeikuta chumbani kwa mdogo wang,alirud likizo kwasasa amerejea shuleni, , naomba mwenye kujua hii dawa kazi yake nini ,
Samahanini lakiniView attachment 844227View attachment 844228
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasaidia hasa niniHiyo ni NGOKA. Dawa ya magonjwa kama yote vile ni kinga pia ya mwili. Unachemsha maji unakoroga kwenye kikombe cha chai unabwia. Trust me
Dooh!nahisi atakuwa anajibust na vumbi la Kongo! Sina uhakika lkn!!
Aisee kumbe ndio hili, ndio maana dogo anawanyoosha mabint hapa kitaaHeshima kwa vumbi la kongo
Sasa unataka niweje serious. upo wapi uniuzie??
Kumbe ni vumbi la kongo hilo aiseeDooh!nahisi atakuwa anajibust na vumbi la Kongo! Sina uhakika lkn!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo iringa, kwan bei yake ni ngapiAisee kumbe ndio hili, ndio maana dogo anawanyoosha mabint hapa kitaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya tumbo, Kichwa kuuma, minyoo n.k