Hii daladala ya wapi?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Daah, nkajua ya DRC kumbe ya hapa Tz
Daah..........
 
Wafunnge tu shuka au taulo hapo mlangoni!... Watauokota mara ngapi?!... Sisi huku uswahilini tunafunga taulo tu... hata mlango wa choo sembuse wa daladala!....
 
Barabara yenyewe mtihani, mlango dhaifu utaacha kuanguka? Na bado, inafuata engine.....
 
Duuuuh mkuu hii picha umeitoa wap maana inaonekana ni ya kitambo sana yaan kipindi hicho vipanya vinapiga ruti za ubungo segerea, Buguruni ubungo maana ni zaidi ya miaka kumi aisee, au na ww upo hapo kipindi hicho ulikuwa konda ukapiga picha ili uweke ukumbusho [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahaha hapana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…