Hii course inahusu nini wakuu?

wadau mpwa wangu huyu kachaguliwa development studies udom uwanja wake wa ajira upoje kwa sasa...
n.b kama huna jibu tembea pita kushoto tusivunjiane heshima wengi Humu ni wadogo zangu..
 
Nenda mzumbe dogo,SUA Ni chuo kizuri but sio kwa hiyo kozi Kuna wadau wengi wameikimbia ko MZUMBE itapendeza sana.
 
hii ni kutunza kumbukumbu za officen ila sijui kama itakuja kuwa na soko maana tunakoelekea mabos wanafanya mambo yao kwenye electronic devices sasa hata data anaweza weka Kwa flash akasave ela ya mpanga mafile officen kwake
Fact aje mzumbe tu
 
wadau mpwa wangu huyu kachaguliwa development studies udom uwanja wake wa ajira upoje kwa sasa...
n.b kama huna jibu tembea pita kushoto tusivunjiane heshima wengi Humu ni wadogo zangu..
Iko good pia,ajira zake kwa Sasa naona nyingi ziko NGO's{non governmental organization},pia halmashauri na usitawi wa jamii wanaitajika pia ko akaipige.
 
Iko good pia,ajira zake kwa Sasa naona nyingi ziko NGO's{non governmental organization},pia halmashauri na usitawi wa jamii wanaitajika pia ko akaipige.
mkuu asante kula tano.✊✊
 
Kijana hivi unadhani watu huwa wanakua mameneja Kirahisi rahis tu?
 
Mkuu inakuaje unachagua course halafu ujui inahusika na nn
 
nimechaguliwa kozi mbili yaani urban development and environment management na project planning management zinahusika na nini hizi na vipi kuhusu kazi.... ipi bora wadau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…