Hii code kwenye HTML inaandikwaje?

g.n.n

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
407
Reaction score
49
Nikifanya mimi napata kitu hii tokana na skills nilizonazo

But, natafuta skills zaidi nipate kufanya kama hii, yaani instructions like hapa weka your name zionekane
ndani ya Box, hapo ndo nahitaji mwenye kujua tunaandikaje code ya namna hii.
 
Njia rahisi ni kwa kutumia browser yako fungua page hiyo halafu nenda tools (inategemea na browser unayotumia) halafu - view source code, utazipata vizuri kabisa.
 
Hii unaweza ipanga kwa CSS ni very simple mkuu.....
 
Nimekusoma dav22 though sijafikia bado CSS,
 
Njia rahisi ni kwa kutumia browser yako fungua page hiyo halafu nenda tools (inategemea na browser unayotumia) halafu - view source code, utazipata vizuri kabisa.

mkuu Kasema Kwenye Html So akiview Source Code Baadhi ya Websites Hawajaatumia Html :... mf Facebook Wametumia Php kama Sijakoseaa
 
hii Nmeichukua Sehem... ngoja Na Mm Ni itry maana Sio expert kwenye hz language na mm learner kama ww

< f o r m t a g = " C r e a t e L o g o n " > < d i v a l i g n = " c e n t e r " >
U s e r n ame * : < i n p u t t y p e = " u s e r n ame " n ame = " u s e r n ame " / > < b r / >

P a s s wo r d * : < i n p u t t y p e = " p a s s wo r d " n ame = " pwd " / > < b r / >

nadhan Huku chin kuendelea Utakua Umepata Mwanga
 
Use placeholder instead of labels, eg
Wewe umefanya hivi
Code:
 <form>
<label>Your Name</label>
<input type="text">
</form>

Now instead of that try this

Code:
<form>
 <input type="text" placeholder="First Name">
</form>

That will help you wrap the text inside the fields, sasa ukitaka ikae vizuri unabidi ujue css, i hope that solve your problem
 
mkuu Kasema Kwenye Html So akiview Source Code Baadhi ya Websites Hawajaatumia Html :... mf Facebook Wametumia Php kama Sijakoseaa

Umekosea tena sana almost every webpage you see is an html markup, open facebook.com right click, view source, do you see any php code hapo? ni kweli facebook wametumia php but the code rendered on the browser is always html.
 
nmekupata Mkuuu
 
mkuu Kasema Kwenye Html So akiview Source Code Baadhi ya Websites Hawajaatumia Html :... mf Facebook Wametumia Php kama Sijakoseaa

Inakubali tu kuonesha codes hata iwe php, jaribu hiyo facebook.com inaonesha codes.
 
Php haiwezi onekana, ni server side scripting language.ndo maana hauwezi fungua page ya php kwa kutumia browser peke yake lazma uwe na web server application kama wamp xamp..code
 
Tumia placeholder kama wadau walivyoelekeza, ila huo urembo mwingine lazma ufaham cascading stylesheets,si ngumu sana pitiawww.w3schools.com wanaelekeza vizur sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…