Hii cable ina kazi gani?

mbeyaboyfrancy

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Posts
248
Reaction score
91
Habar ya weekend jana nimenunua simu ya tecno L8 ndani ya box nimekutana na hii cable nilikuwa naitaji kujua matumizi yake
 
mkuu hiyo inaitwa female USB cable...
Habar ya weekend jana nimenunua simu ya tecno L8 ndani ya box nimekutana na hii cable nilikuwa naitaji kujua matumizi yakeView attachment 370154View attachment 370155
mi naijua tu jina lake kuwa ni USB FEMALE CABLE...hapo unaweka flash ili kuongeza storage ya simu labda ku`watch movie zilizopo kwenye flash kwa kutumia simu,kusikiliza miziki n.k n.k
 
Ni smartphone gani ya bei nafuu ina support hiyo usb otg?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…