never dream of that, switii wako yuko salama kabisa hapa Perth,Australia alikuja kumwona mtoto wa dada yake ambaye namsomesha mimi ,kesho anageuza.Actually i bumped into her downtown Sydney akaniambia anakusalimia,kesho nitampeleka lunch kabla sijam drop airport.
Mambo swahiba!nilihamia facebook
Haujambo wewe? eb sema neno moja nifurahiMambo swahiba!
Mambo swahiba!
Nyinyi vimeo bana, mbona mimi JF nilikuwa napata sku zote.
Nyinyi vimeo bana, mbona mimi JF nilikuwa napata sku zote.
Jamani sweeheart am back kwaajili yako......afu toka lini mambo ya chumbani umeanza kuyatoa sebuleni?......ona sasa Kongosho ameanza kuchonga.....
Love you darling!
Nyinyi vimeo bana, mbona mimi JF nilikuwa napata sku zote.
Love you too baby, bishanga konnie wanatoa maneno mazito.
Achana nao bana manake hawapendi kuona mapenzi yetu yakidumu.....ila hawawezi kutuchonganisha si eti eeh?
kloro unatulaghai eeeee
Yaani ilikuwa bomba kinomi, kulikuwa na access special ya VIP, tulikuwa kama watu 20 tu JF nzima, hapa ndio nilisibitisha kumbe memba wa JF kibao ni vimeo tu, unajua ngoma iliwekwa ili ukuwe na access basi unahitaji IP adress maalum za routers maalum za VIP. Ni kipindi ambacho tulikitumia kujadili namna mamilionea kama loya na wenzake wanavyoweza kuikwamua JF kiuchumi.Lawyer sio vizuri kuongopa!
thats my darl, Love u more sweetlady , Mala hii tukikutana lazima nikubebe, mzembe nimeanza gym, six pack la kufa mtu.I love you klorokwini.........
Waambie hao darlin' wanaingia jf na vimeo afu wanategemea waione lol......watajibeba!
Yaani ilikuwa bomba kinomi, kulikuwa na access special ya VIP, tulikuwa kama watu 20 tu JF nzima, hapa ndio nilisibitisha kumbe memba wa JF kibao ni vimeo tu, unajua ngoma iliwekwa ili ukuwe na access basi unahitaji IP adress maalum za routers maalum za VIP. Ni kipindi ambacho tulikitumia kujadili namna mamilionea kama loya na wenzake wanavyoweza kuikwamua JF kiuchumi.
thats my darl, Love u more sweetlady , Mala hii tukikutana lazima nikubebe, mzembe nimeanza gym, six pack la kufa mtu.
Halaf wamefungua masredi kibao wanalalamika, kumbe mamilionea tunawachora tu na kelele zao.[/ QUOTE]
tatizo lako we kloro umekaa ki mkukuta,yaani wamiliki wa jf wamekukatia ka mshiko unaleta longolongo hapa.....TAKAKURUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!!!!
Afu malalamiko yao yanatupotezea pozi lol....hebu wasiliana na makao makuu ya jf wadelete hayo mapost yao ya kulalama..Yaani ilikuwa bomba kinomi, kulikuwa na access special ya VIP, tulikuwa kama watu 20 tu JF nzima, hapa ndio nilisibitisha kumbe memba wa JF kibao ni vimeo tu, unajua ngoma iliwekwa ili ukuwe na access basi unahitaji IP adress maalum za routers maalum za VIP. Ni kipindi ambacho tulikitumia kujadili namna mamilionea kama loya na wenzake wanavyoweza kuikwamua JF kiuchumi.
Hahahahahaha !!!!!!!!
thats my darl, Love u more sweetlady , Mala hii tukikutana lazima nikubebe, mzembe nimeanza gym, six pack la kufa mtu.
Thats my sweetheart klorokwini.......mwaaaaaaaa to you!!!!!!!!!
Halaf wamefungua masredi kibao wanalalamika, kumbe mamilionea tunawachora tu na kelele zao.