Mbona mimi sina hizo hela,nipo tu uswahilini napigwa na Jua.shida wabongo wengi hawajali wanalalia sana wanataka kitonga,ukimwambia mmbongo hiki kitu kinatakiwa kuwa hiv anazunguka wee ili kukwepa cost mwisho wa siku mnakuja kulaumiana tu bora atafute fani nyingine.