Hidden

pole hujaelewa hii thread bestito
mwenzio ni mawengewenge hayo niliyoyapata
kule siasani nilipatwa na mkong'oto wa hali ya juu
kisa najifanya ninachonga sana :eek2: wakanipa kibano
Nimeelewa sasa. Ha ha haaaa! Pole shosti. Kule siasani niliacha kwenda mara kwa mara baada ya kuona napandwa na hasira tu kwa comments za wajinga wajinga flani hivi. Nikaona kuliko kula ban ya maisha bora nipunguze kuingia huko. Huwa naingia huko akili zikiwa zimehama ili nikabiliane na lolote nitakalokutana nalo.
 
Nimekwishapoa bestito wangu yaani nami nitafuata nyayo zako
ningiie kule nikiwa kichwa kikiwa kimehama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…