Hidden

cousin imekwenda vibaya kwangu ningejua nisingeingia siasani

cousin mi nikiendaga kule huwa natamani kutoa neno ila kabla sijalitoa huwa nafikiria majibu nitakayopewa, baada ya hapo nafikiria tena jinsi nitakavyo wajibu mwisho wasiku najikuta nimepigwa BAN mawazoni nikizinduka najikuta nimeamia chitchat yaani burdaaani,
Arushaone ananiwakilisha vyema kule.
 
Last edited by a moderator:
kuna abnormality za aina mbili!
ya kwanza ni IQ kuwa chini na ya pili ni IQ kuwa juu..
best umenielewa?
 
yuko wapi kondoo wako Mamndenyi akueleweshe
ili ujue zaidi kwani naona imekupiga chenga bestito
mambo ya siasani hayo yaliyonipata mwenzio
sijaelewa vizuri ngoja wengine wachangie
 
Last edited by a moderator:
yaani sijakuelewa kabisaa tena kabisa
naomba unifafanulie IQ ndo nini hiyo makitu?
kuna abnormality za aina mbili!
ya kwanza ni IQ kuwa chini na ya pili ni IQ kuwa juu..
best umenielewa?
 
yuko wapi kondoo wako Mamndenyi akueleweshe
ili ujue zaidi kwani naona imekupiga chenga bestito
mambo ya siasani hayo yaliyonipata mwenzio
siasa kule lazima uwe mgumu.......kondoo wangu yupo tu hawezi kwenda kwa mbwa mwitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…