ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
sijaelewa vizuri ngoja wengine wachangie
hahaaaaa nakumbuka ile siku...wakasema umepost ki em em you
hebu edit post yako bestito mtu anapata shida kusoma wengine twatumia mawani ya mbao
kumbe bestito ulikuwepo sasa mbona hukunisaidia wakati napigwa :frusty::frusty:
heri hata nieleweshe lov maana nadhani ni mwendelezo mi nitakuwa nimekutana na part 2naomba nikueleweshe lov
we mie kule naingiaga kwa kunyata....ila siku ile nilikuwepo
heri hata nieleweshe lov maana nadhani ni mwendelezo mi nitakuwa nimekutana na part 2
Mhmmm!!! Naona giza hapa.
heri hata nieleweshe lov maana nadhani ni mwendelezo mi nitakuwa nimekutana na part 2
yaani itabidi nami niingie hivyohivyo kama wewe shostito kwani mwenzio hapa nilipo nina ngeu
mwili mzima sijui nani atakuja kunikanda na barafu mwili umevimba hovyo hovyo best
halafu hiyo avatar yako hebu usiinamishe kichwa niangalie nione hayo macho yakohii ni part two..part one uliimis
halafu hiyo avatar yako hebu usiinamishe kichwa niangalie nione hayo macho yako
basi nifute machozi lovitohahaa naona aibu mwenzio...na sipendi kukuona unvyolia bora niiname tu