ndio mana nataka mtu ambae anayo mkuu tanga gari nyingi unazo ziona ni za undugu na urafiki na hata ukipewa ujue mda wowote utapokonywa akija mtoto wa shangazi.....kikubwa nahitaji mtu serious ambae nitakuwa huru kufanya kazi mda wote.Hiace haitafutwi JF, Nenda stendi mkoani kwenu hapo daladala/hiace zinapopark. Kazi za hiace mara nyingi kama si zote hutolewa kwa kujuana.
hamna mkuu nimetoa hesabu sahii kulingana na mzunhuko wa kibiashara wa eneo husika unaweza nipangia hesabu yako na nisitimize makubaliano mwisho wa siku ukaniona sio mfanyaji kazi nakuletea usumbufu.
yaani kirahisi tu unajipangia hadi hela ya kumlipa bosi ee bwana ee hii sijawahi iona
asante kaka kwa ushauriHalafu hio 35,000 ni kwa hasi ndogo, almaarufu kama PANKI, ila ukipewa SuperRouf au Shack... Ni 40,000...ila uzuri nenda kwenye gereji za gari hizo au stendi.. Pia kuna maelewa wewe na boss wako, kwahio usiseme 35,000 ukadhani ni kubwa... Labda watakukimbilia. Hapana.. Hayo ni maelewano yenu