mtanga255
Member
- Sep 25, 2017
- 36
- 19
Habari wanazengo,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31 ni dereva,ombi langu kwenu nahitaji gari aina ya hiace ya hesabu iwe kwa mwezi au wiki na itatumika tanga mjini kama daladala hesabu yake kwa siku ni 35,000.
kwa mtu aliye tayari na yuko tayari kwa biashara hii tunaweza wasiliana..0693562823
Nipigie au ni sms sina simu ya mtandao .
kwa mtu aliye tayari na yuko tayari kwa biashara hii tunaweza wasiliana..0693562823
Nipigie au ni sms sina simu ya mtandao .