M mzee wa noti New Member Mar 3, 2010 4 0 Mar 10, 2010 #1 oya washikaji wa baraza la jamii mambo vipi? nami nimo ktk baraza naomba mnipe sturi ili tuweze kushirikiana ktk kutoa maoni mbalimbali kwa ajiri ya faida ya nchi yetu naamini sturi nimepata poooooooooooooa
oya washikaji wa baraza la jamii mambo vipi? nami nimo ktk baraza naomba mnipe sturi ili tuweze kushirikiana ktk kutoa maoni mbalimbali kwa ajiri ya faida ya nchi yetu naamini sturi nimepata poooooooooooooa
cheusimangala JF-Expert Member Feb 27, 2010 2,585 497 Mar 10, 2010 #2 karibu sana!jina lako nimelipenda!
R redcard Member Jul 20, 2009 45 0 Mar 10, 2010 #4 Karibu manoti, mradi yasiwe ya Zimbabwe! Kijiwe wapi jioni??? cheusi mangala lol....mmmh....hiyo ndo namba 6 au 8
Karibu manoti, mradi yasiwe ya Zimbabwe! Kijiwe wapi jioni??? cheusi mangala lol....mmmh....hiyo ndo namba 6 au 8
FirstLady1 JF-Expert Member Jul 29, 2009 16,792 5,375 Mar 10, 2010 #6 cheyo style karibu sana umekuja kutujaza manoti eeh?
cheusimangala JF-Expert Member Feb 27, 2010 2,585 497 Mar 10, 2010 #7 redcard said: Karibu manoti, mradi yasiwe ya Zimbabwe! Kijiwe wapi jioni??? cheusi mangala lol....mmmh....hiyo ndo namba 6 au 8 Click to expand... ni no. tisa iliyogeuka upside down!
redcard said: Karibu manoti, mradi yasiwe ya Zimbabwe! Kijiwe wapi jioni??? cheusi mangala lol....mmmh....hiyo ndo namba 6 au 8 Click to expand... ni no. tisa iliyogeuka upside down!
The Boss JF-Expert Member Aug 18, 2009 49,111 115,906 Mar 10, 2010 #8 karibu kwa taratibu.... na some decency pia, wapo watu wazima humu,na sio washikaji wa vijiweni.......
karibu kwa taratibu.... na some decency pia, wapo watu wazima humu,na sio washikaji wa vijiweni.......
Fisherscom JF-Expert Member Mar 13, 2008 1,763 764 Mar 10, 2010 #9 Karibu sana mkuu,tena kwa mikono miwili. Leo kuna uji wa ulezi sijui unatumia? Karibu......!!!