Hi.

Bunyu

Senior Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
119
Reaction score
32
Ikiwa Idd Mubaraq or whatever, ngono sana, ikiwa xmass, ngono sana, ikiwa new yr, suala ni hilo hilo! Hivi ni lazima kungonoka katika siku hizo au kuna nini kati ya sikukuu na ngono?
 
Ikiwa Idd Mubaraq or whatever, ngono sana, ikiwa xmass, ngono sana, ikiwa new yr, suala ni hilo hilo! Hivi ni lazima kungonoka katika siku hizo au kuna nini kati ya sikukuu na ngono?

Vipi kuhusu wewe, umengonoka leo au?????
 
ukiona hivi ujue kunalinalokuhusu limetokea.
kwakweli ngono ni starehe tu ,na huwa inafanyika kila siku sema siku za sikuku zinaonekana kwasababu almost watu wote wanafanya kwa siku moja.
 
Bunyu bwana hahahah....
kwani wakati wa sikukuu maungo ya uzazi huwa yanapotea si na yenyewe inabidi yafurahie uumbaji lol!!!
 
ni siku nzuri ya kugonoka maana mademu wanataka outings so na mwanaume wa kweli hela yake ikiliwa na demu basi lazima demu agegedwe....so ni siku ambazo unaweza pata papuchi kirahisi
 
Ikiwa Idd Mubaraq or whatever, ngono sana, ikiwa xmass, ngono sana, ikiwa new yr, suala ni hilo hilo! Hivi ni lazima kungonoka katika siku hizo au kuna nini kati ya sikukuu na ngono?

mazoea tu hakuna laziada
 
unatuchosha ujue!!! thread moja tittles tofauti manake nini??? #%#&#@#& wee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…