Leak Platinum Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,939 Reaction score 43,577 Oct 20, 2012 #2 Safiii! Ume kaguliwa? Mbona unafanya tresspassing? Unatakiwa kabla ya kuingia huu mtaa utume maombi kwa njia ya pm na bandiko(uzi) kwenda kwa babu Aspirin!
Safiii! Ume kaguliwa? Mbona unafanya tresspassing? Unatakiwa kabla ya kuingia huu mtaa utume maombi kwa njia ya pm na bandiko(uzi) kwenda kwa babu Aspirin!
Madame B JF-Expert Member Joined Apr 9, 2012 Posts 31,841 Reaction score 37,552 Oct 20, 2012 #3 kingsjuma said: mambo vp membars Click to expand... Salama. Naomba nikukague chini ya usimamizi wa mtu 3.
kingsjuma said: mambo vp membars Click to expand... Salama. Naomba nikukague chini ya usimamizi wa mtu 3.
Asulo JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 719 Reaction score 252 Oct 20, 2012 #4 Madame B said: Salama. Naomba nikukague chini ya usimamizi wa mtu 3. Click to expand... Muombe kitambulisho
Madame B said: Salama. Naomba nikukague chini ya usimamizi wa mtu 3. Click to expand... Muombe kitambulisho
stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,106 Oct 20, 2012 #5 kingsjuma said: mambo vp membars Click to expand... Pointi to note; Epuka kifupii Hiki ni nini?? ''membars''
kingsjuma said: mambo vp membars Click to expand... Pointi to note; Epuka kifupii Hiki ni nini?? ''membars''
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 619 Oct 20, 2012 #6 babu aspirin kuna mtu anabisha hodi nje
beibe nasty JF-Expert Member Joined Apr 11, 2012 Posts 1,640 Reaction score 524 Oct 20, 2012 #7 haya kingsjuma uje upyaaaa ukaguliwe utambulishwe na mengi mengineyo sasahivi lazima kuwe na tean ya training mana watu wankurupuka huko waja hapa waanza maneno yao ya kule kwenye ile nyingine ile ...book
haya kingsjuma uje upyaaaa ukaguliwe utambulishwe na mengi mengineyo sasahivi lazima kuwe na tean ya training mana watu wankurupuka huko waja hapa waanza maneno yao ya kule kwenye ile nyingine ile ...book