sasa kama ndio div hiyo yenyewe tu kero.jitathimin peke yakoHabari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana Na nimepata div 3 ya 24.
Lengo langu ni kusoma HGE lakini nimepata History D Na Geography D.
Je naweza enda kusoma hii combination advance atakama Kwa shule ya private.
Ndoivo nataka kufanyakwa hizo D hakikisha umetusua vzr sana advance vinginevyo utakosa chuo
Mathematics umepataje ili tukushauri?Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana Na nimepata div 3 ya 24.
Lengo langu ni kusoma HGE lakini nimepata History D Na Geography D.
Je naweza enda kusoma hii combination advance atakama Kwa shule ya private.
Kwahiyo three, una C ngapi?Habari zenu wana jamvi natumaini wote muwazima.
Nimemaliza kidato cha nne mwaka jana Na nimepata div 3 ya 24.
Lengo langu ni kusoma HGE lakini nimepata History D Na Geography D.
Je naweza enda kusoma hii combination advance atakama Kwa shule ya private.
Kama hana C tatu au Zaidi, hakuna A-level hapo!kwa hizo D hakikisha umetusua vzr sana advance vinginevyo utakosa chuo
Usiende hiyo comb itakusumbua sana maana at least ungekuwa na D maana licha tu hesabu ambayo ipo pia lazima uisome Lakini pia economics kuna topic kama theory of Firm na nyingine mbili tatu zinahesabu tena Za differential japo siyo kali sana lakini zinahitaji uzijue geography nayo inahesabu kimtindo sasa kwa huo ufaulu wako itakuwa changamoto
Hesabu naweza mkuuUsiende hiyo comb itakusumbua sana maana at least ungekuwa na D maana licha tu hesabu ambayo ipo pia lazima uisome Lakini pia economics kuna topic kama theory of Firm na nyingine mbili tatu zinahesabu tena Za differential japo siyo kali sana lakini zinahitaji uzijue geography nayo inahesabu kimtindo sasa kwa huo ufaulu wako itakuwa changamoto
Hapo chukua HGL au HKL utafanya vizuri kuliko kwenda kukomaa na HGE ukapata tokeo bovu mwishoni
Poapoa Mkuu, ila ukaisome hiyo ukiwa umeamua mwenyewe binafsi, isijekuwa unaenda hiyo kwa sababu ya ushawishi wa wenzako na zile za kusema HKL, HGL, HGK ni comb za kike utakuwa umekoseaHesabu naweza mkuu
Poapoa Mkuu, ila ukaisome hiyo ukiwa umeamua mwenyewe binafsi, isijekuwa unaenda hiyo kwa sababu ya ushawishi wa wenzako na zile za kusema HKL, HGL, HGK ni comb za kike utakuwa umekosea
BTW ni combination nzuri ukipiga msuli fresh ukakomae na Geography maana ndiyo ina vitu vingi hasa geog 1, hesabu nayo usolve maswali mengi na uhakikishe unamaster at least topic moja vizuri hapa nikupendekezee linear programming ili uchukue zote 10 na nyingine ili ufikishe 25 bila kusahau economics na history na ndugu yao GS utatoboa fresh
Ahsante broKijana usikate tamaa. HGE unasoma kabisa kama una C tatu.... Kuwa determined, nadhani O level uliteleza tu, ukikomaa A level unatoboa.
Sent using Jamii Forums mobile app
kasome combination yoyote ! na Mungu wa maarifa atakusimamia. nenda, nendanimepata C 4