Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,254
- 15,070
حسن نصرالله ضغط “زر الحرب” وصواريخ حزب الله أمطرت قاعدة إسرائيلية عسكرية وهذا رد نتنياهو
قصف متبادل
رد حزب الله اللبناني اليوم، الأحد، على العدوان الإسرائيلي الأخير باستهداف قاعدة عسكرية إسرائيلية قرب مستوطنة أفيفيم
Hapa naona tu mimoshi ya bangi, jamaa kadata hadi anaandika makorokocho, kashindwa kuumba hata herufi 'A'حسن نصرالله ضغط “زر الحرب” وصواريخ حزب الله أمطرت قاعدة إسرائيلية عسكرية وهذا رد نتنياهو
قصف متبادل
رد حزب الله اللبناني اليوم، الأحد، على العدوان الإسرائيلي الأخير باستهداف قاعدة عسكرية إسرائيلية قرب مستوطنة أفيفيم
HahahahahahahahHapa naona tu mimoshi ya bangi, jamaa kadata hadi anaandika makorokocho, kashindwa kuumba hata herufi 'A'
dogo wanane sita wamekufa na wawili wako ICU, Natanyahau anajidai hakuna aliye umia na waandishi wa habari wa Israel wako hospital wanasema wameona Heilcopter inawashusha walio umia pale Hospital.Yani kurusha RPG kwenye stationery cars uneona dili sana
Ndugu fatilia habari vizuri ni missile tatu, Moja ya kulipa wale vijana wawili wa Hezbullah yeye kamaliza sita na wawili wako ICU.hezbola wamelenga shabaha moja tu imewaachia damage kubwa sana,,israel amejibu kwa kupiga hovyohovyo maporini yaaani ni uharibifu tu wa mabom
mziki wa kony ulikuwa mzito mpaka USA walikuja kumtafuta ila waliambulia patupuHezbullah hawana tofauti ni kikundi cha vurugu cha Joseph Koni wa uganda.
Vurugu zao hazina hadhi ya kuitwa vita.
ahsante sana kwa hii taarifaNdugu fatilia habari vizuri ni missile tatu, Moja ya kulipa wale vijana wawili wa Hezbullah yeye kamaliza sita na wawili wako ICU.
Missile ya pili imepiga camp ya jeshi.
MIsile ya tatu imepiga infastructor ya mji huo Avren, yani kuna mijumba imeungua tu kibao.
Israel kapiga porini mizinga kuchoma majani na Natanyahu anajidai hakuna alie umia, haha wakati wandishi wa habari wanaonyesha majeruhi wanapelekwa Hospital wale wawili 😁 👍 .
Fatilia Al Maydeen tv wanasema makamanda wa Hezbullah wamemuonyesha Natanyahu kwa kuingia 3km ndani ya Palestin(Israel)
dogo wanane sita wamekufa na wawili wako ICU, Natanyahau anajidai hakuna aliye umia na waandishi wa habari wa Israel wako hospital wanasema wameona Heilcopter inawashusha walio umia pale Hospital.
Afu cha ajabu mpaa Israel wanashangaaa Makamanda wamepiga ndani ya Israel. Yani Makamanda wameingia ndani na missile, Israel na technoligy yake hakuwaona hahaha aibu sana hio.
Natanyahu anakimbilia kujidai walirudisha kwa kupiga mizinga, wapi mizinga na missile hata apige mizinga 100 si sawa na missile tatu zimeharibu camp ya Jeshi na zime uwa waliomo kwenye kifaru kinacho chukua watu wanane yani 6 wamekufa na wawili watakufia hospital. Poleni sana.
Yani aibu karibu week na ushee Israel anajitahidi kujilinda iliwakwepe kipigo afu unapigwa kama mtoto.
Tena ndani ya nchi mlioikalie kinguvu palastine sio kwenye mpaka wa Lebanon ni 3km ndani ya mpaka wenu.
Afu Hezbullah wameonyesha utu wakuwachia ambulance iwabebe hao walio umia huo ndio uwanaume. Itabaki history Hezbullah c lele mama dogo [emoji16] [emoji16][emoji106]
Amejibu kwa kuchoma majani 😁 👍 FYI, jeshi la Israel limeisha mueleza Natanyahau I srael hawezi kwenda vitani kwa sasa na Hezbullah sababu hawana uwezo wa kupigana nao. Fatilia tv za Israel.israeli nae atawajibu tu wao wavute subra
dogo huyo PM wa Lebanon ni mpinzani mkubwa wa Hezbullah anajipigisha simu nakujidai kustopisha vita USA, hivi anaye stopisha vita ni USA? au Hezbullah na Israel?Hakuna ata aliechibuka, hakuna kitu ! Waziri Mkuu Lebanon anaiomba USA na France Ziwazuie Israel. Aljazeerah wanasema Israel anatafuta sababu ili aanze chapa chapa kwa kisingizio cha Hizbullah wameanza, wanasema kwamba Netanyahu kwa siku 3 amemuomba Trump ruhusa ya kuruka juu ya Iraq( Trump hajamjibu) nia yake wakati anapigana na Hizbullah anataka akaripue ile mivinu ya Nuclear kule Iran, kwa maelezo kwamba anamsogelea Iran kamdhibiti. USA asipokubali Israel anasema atakwenda peke yake.
uko wap wewe Israel anashambulia lebanon sasa hiv....dohdogo huyo PM wa Lebanon ni mpinzani mkubwa wa Hezbullah anajipigisha simu nakujidai kustopisha vita USA, hivi anaye stopisha vita ni USA? au Hezbullah na Israel?
Lazima ufahamu wazi USA na Europe walituma ujumbe kwa huyo PM Hariri ili Hezbullah asirudishe nani alimsikiliza.
Huyo PM wa Lebanon yeye ni pro western lazima ajipigishe simu ili aionyeshe Hezbullah dhaifu, wakati hakuna hata siku moja siasa ya huyo Hariri ikakubaliana na Hezbullah.
Sisi tunataka wapi Hezbullah kaomba USA waingilie?
Sisi tunataka jibu la Natanyahau alisema Hezbullah akirusha risasi basi ataishambulua Lebanon yote mbona amekwepa.
Lazima mkubali Israel hana uwezo wa kuingia vitani na Hezbullah wala Iran, mtaishia kupiga kelele tu.
Nitafutie habari inayosema Hariri anauwezo wa kuwazuia Hezbullah wasiende vitani au yeye ni spokesman wa Hezbullah kama hujakuta yeye ni Pro Israel.
soma aljazera washapewa displin hizbollahuko wap wewe Israel anashambulia lebanon sasa hiv....doh