[h=4]THE CRIMES OF PROPHET MUHAMMAD[/h]dogo Ishamel; Your comments are almost childlike and BTW; There are enough ------ in this world. Stupid Israel, as the old saying goes; From a pig one can only expect a grunt.
Naanza kuamini kuwa vita hivi ni propagsanda tu lakini israel hawamuwezi hazbollah wanalindwa na marekani siku akighairi israel itasambaratishwa
wewe nyani mtu ndio utumie akili haingii akilini kweli kama israel kusumbuliwa na kikundi kidogo cha wanamgambo kwa takribani miaka 50 .kama wangekuwa na uwezo wangeshakiangamiza lakini wameshindwa.kila siku huwa nasema ukiambiwa kitu tumia na wewe akili yako kutafiti hilo jambo ni la kweli au ni uongo?????wewe jeshi la nchi kama israel inaingia kweli akilini kushindwa na hizbular kikundi cha kigaidi hata wewe inaingia akilini mwako???1967 jeshi hilo hilo lilipambana na nchi ngapi za kiarabu na wala hawakuweza na ilikuwa 1967 fikiria tena mwaka huu 2015 jeshi hilo limeendelea kiasi gani????tatizo lenu ninyi mmeambukizwa silka ya waarabu ya kulalama kila kukicha na kusingizia nchi za magharibi wakati si kweli kabisa wakati mwingine tumieni hata akili zenu kubaini mambo.
wewe nyani mtu ndio utumie akili haingii akilini kweli kama israel kusumbuliwa na kikundi kidogo cha wanamgambo kwa takribani miaka 50 .kama wangekuwa na uwezo wangeshakiangamiza lakini wameshindwa.
wewe nyani mtu ndio utumie akili haingii akilini kweli kama israel kusumbuliwa na kikundi kidogo cha wanamgambo kwa takribani miaka 50 .kama wangekuwa na uwezo wangeshakiangamiza lakini wameshindwa.
Wapiganaji wa Hezbollah Kundi la wapiganaji wa Washia wa Lebanon walio chini ya vugu vugu la Hezbollah, linasema kuwa limetekeleza shambulio dhidi ya msafara wa wanajeshi wa Israeli katika mpaka wa mataifa hayo mawili.
Kwa upande wake, Jeshi la Israeli linasema wanajeshi wake wanne wamejeruhiwa pale kombora lililorushwa kwa kifaru kupiga gari lake la kijeshi karibu na mpaka wa Lebanon.
Taarifa nyingine kutoka kwa Hezbollah zinasema kuwa zaidi ya waisraeli 15 yamkini wameuwawa au kujeruhiwa.
Kundi la Hezbollah linasema kuwa lilikuwa likijibu mashambulio ya angani yaliyofanywa na Israeli yaliyomuua jenerali mmoja wa Iran na wapiganaji kadhaa wa Hezbollah Nchini Syria siku kumi zilizopita.
Israel ilijibu mashambulizi hayo kwa kurusha makombora Kusini mwa Lebanon Waziri mkuu Benjamin Netanyahu alionya kwamba jeshi la Israel liko tayari kutumia nguvu dhidi ya mashambulizi yoyote kutoka kwa washambuliaji.
Source: BBC
Young muhammadan,
Mdomo una maringo.. alingoja nini muda wote huo. lets wait and see