Hezbollah lashambulia jeshi la Israel

kamili

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2011
Posts
1,219
Reaction score
855
Wapiganaji wa Hezbollah Kundi la wapiganaji wa Washia wa Lebanon walio chini ya vugu vugu la Hezbollah, linasema kuwa limetekeleza shambulio dhidi ya msafara wa wanajeshi wa Israeli katika mpaka wa mataifa hayo mawili.

Kwa upande wake, Jeshi la Israeli linasema wanajeshi wake wanne wamejeruhiwa pale kombora lililorushwa kwa kifaru kupiga gari lake la kijeshi karibu na mpaka wa Lebanon.

Taarifa nyingine kutoka kwa Hezbollah zinasema kuwa zaidi ya waisraeli 15 yamkini wameuwawa au kujeruhiwa.

Kundi la Hezbollah linasema kuwa lilikuwa likijibu mashambulio ya angani yaliyofanywa na Israeli yaliyomuua jenerali mmoja wa Iran na wapiganaji kadhaa wa Hezbollah Nchini Syria siku kumi zilizopita.

Israel ilijibu mashambulizi hayo kwa kurusha makombora Kusini mwa Lebanon Waziri mkuu Benjamin Netanyahu alionya kwamba jeshi la Israel liko tayari kutumia nguvu dhidi ya mashambulizi yoyote kutoka kwa washambuliaji.

Source: BBC
 
Poleni sana wakristo sa mungu wenu lile sanamu liko uchi wa bibili yuko wapi, si anajidai hakuna kitu kinaweza kupenya kwenye taifa lake hahaha.
 
Hujui ulicho kiandika na lazima utakuwa una mtindio wa ubongo
 
Poleni sana wakristo sa mungu wenu lile sanamu liko uchi wa bibili yuko wapi, si anajidai hakuna kitu kinaweza kupenya kwenye taifa lake hahaha.

Hujui ulicho kiandika na lazima utakuja na mtindio wa ubongo
 
Hujui ulicho kiandika na lazima utakuja na mtindio wa ubongo

Tulishawah kusema na nitaendelea kusisitiza kuwa pamoja na kujifanya wako imara kijeshi, lakin asikuambie mtu, nguvu zote ni kwa sababu ya US, nje ya hapo ni wepesi! Ila kwa kuwaonea Hamas wanaweza ila siyo Hezbollah! Ni ujinga mkubwa kuwapa sifa ambazo hawastahili.
 
Hzbullah nawaaminia bhana wale majembe eti mwixrael achezee kpgo
 
Hzbullah nawaaminia bhana wale majembe eti mwixrael achezee kpgo

Hayo majembe yanayazidi yale ya escrow yaliyogoma kujiuzulu halafu yaka yaka ya yakato to to to yakato.

Naomba dawa ya kigugumizi
 
Hezbollah na Ebola zote ni national security issues ....
 
Kuua askari wawili sio kushinda vita, vilima vya golani vinamilikiwa na israel, chezea yom-kipur wewe.
 
Hezbollah wamesema hiyo ni bashraf tu, mziki kamili haujaanza.

Wasije kujificha nyuma ya watoto na akina mama wajawazito na kuanza kulalamika watakapofumuliwa nnya kwa maroketi.
 
Wasije kujificha nyuma ya watoto na akina mama wajawazito na kuanza kulalamika watakapofumuliwa nnya kwa maroketi.

Hizo mbinu za Wayahui, juzi juzi si uliona walivyotandikwa? umesahau. Jikumbushe:

US, Israel wanamaliza pesa zao kwa ugomvi ambao hawauwezi
Hawa wezi na Hezbollah kaaema akisha maliza vita kule Syria na vibaraka wa Israel (ISIS) Israel ajiandae kuondoka Al Quds (Jerusalam), sababu watanza kwanza kuikomboa Golan afu Sheba firm afu wanaingia step by step mpaa Al Quds. 2013 na Ishmael
 
Last edited by a moderator:
Hawa wezi na Hezbollah kaaema akisha maliza vita kule Syria na vibaraka wa Israel (ISIS) Israel ajiandae kuondoka Al Quds (Jerusalam), sababu watanza kwanza kuikomboa Golan afu Sheba firm afu wanaingia step by step mpaa Al Quds. 2013 na Ishmael
Hezbollah are fighting a loosing battle. There is nothing new about them.
 
Hezbollah are fighting a loosing battle. There is nothing new about them.
Hahaha dogo Ishmael FYI; Israel cannot defeat Hezbollah now and forever, Hezbollah's attack in Israel 2 days ago was an eye-for-an-eye retaliation for Israel's pre-emptive bombing raid in Syria two weeks ago.
 
Young muhammadan,
To attack someone does not mean that you have defeated him, those are two different words. Remember, those people you worship are just chemical animals with no morals and are worthless before the creator.
 
dogo Ishamel; Your comments are almost childlike and BTW; There are enough ------ in this world. Stupid Israel, as the old saying goes; From a pig one can only expect a grunt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…