Hezbollah kusalimisha Silaha zao

Mungu wa babu zetu afrika anaitwa nani?
 
A
Asante kwa kujifariji na kujifurahisha.
 
Kwa hiyo kutafsiri unashindwa? Kikubwa nyie mnaogopa yule Israeli ataishi roho juu juu ...Hao jamaa ni milele hakuna wa kuwaangusha ,huyo USA mpaka awavizie ...Hizbullah idumu milele
 
Wacha ujinga wewe hakuna miungu kuna Mungu mmoja tu, hata Yesu aliwambia wayahudi Mungu wetu ni mmoja tu. Hao miungu wengine wametengenezwa na binadamu au wamezaliwa na binadamu sio miungu.
 
Utafikiri hicho kitabu chenu cha mapepo unakisoma wewe peke yako. Mbona Kiko uchi kabisa na ushetani wake.
 
Mimi naongea ukweli nyie endeleni kuimba Haleluya kama itawasaidieni. Mtanikumbuka mkisha fika makaburini kama Yesu atawasaidieni.
Ungekuwa muungwana ningekufundisha hiyo Quran yako na Biblia ukitaka. Lakini bahati mbaya una degree ya matusi.
 
Kwa hiyo kutafsiri unashindwa? Kikubwa nyie mnaogopa yule Israeli ataishi roho juu juu ...Hao jamaa ni milele hakuna wa kuwaangusha ,huyo USA mpaka awavizie ...Hizbullah idumu milele
Hezbullah ipo na inazidi kuwa na nguvu wacha wafuasi wa mkosa nyumba alie lala pale njia ya panda ya kwenda Damascus na Jerusalem aendelee kuliota shetani lake huko kaburini kama alikuwa Yesu 😄 🤣
 
Wacha ujinga wewe hakuna miungu kuna Mungu mmoja tu, hata Yesu aliwambia wayahudi Mungu wetu ni mmoja tu. Hao miungu wengine wametengenezwa na binadamu au wamezaliwa na binadamu sio miungu.
Usikariri. Tafuta Mungu wa kweli wa Afrika. Acha kutukiza miungu ya kigeni. Hizo dini za wakoloni ni man made ili kutawala wengine.
 
Ungekuwa muungwana ningekufundisha hiyo Quran yako na Biblia ukitaka. Lakini bahati mbaya una degree ya matusi.
We unifundishe mimi Qur'an mwenye majina kama utitiri. Wewe bibilia huijui hebu niambie wapi kwenye bibilia kuna Trinity.

Afu Holy Spirit ailikuwepo kabla ya Yesu au walizaliwa wakati mmoja 😄 🤣

Matusi kama umeanza lazima nikutukane tu, situkani mtu bila sababu.
 
Usikariri. Tafuta Mungu wa kweli wa Afrika. Acha kutukiza miungu ya kigeni. Hizo dini za wakoloni ni man made ili kutawala wengine.
Kwani uliitwa ? Punguza shobo kila mtu afuate anachotaka ...Miungu ya Afrika haipo ni stori za kahawa.
 
Usikariri. Tafuta Mungu wa kweli wa Afrika. Acha kutukiza miungu ya kigeni. Hizo dini za wakoloni ni man made ili kutawala wengine.
Hivi Africa kumbe wana miungu yao labda ile ipo misitu ya Congo.

We tumia akili Mungu ni mmoja tu.
 
Soon Iran anasaini mkataba wa Amani na Marekani anawauza makobazi wa Kiarabu
 
Una uhakika wewe kichwani una akili? Mimi naona umebeba tope zito tu.
We kama unaona nimebeba tope wewe utakuwa unakasoro flani tu kichwani kwako. Sababu mwenye kusema Yesu ni Mungu hata mende kamzidi akili 😄 🤣
 
Acha kuwa mtumwa wa dini za wakoloni na watesi wa babu zako.
 
Mimi sijawahi kuwa mtumwa, mimi ni Original, family yangu haina uhusiano na watumwa hata chembe.

We ukitaka tukuajiri njoo tukuwache uwe mpishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…