Waambie hao π€£π€£π€£Hivi wewe ninani hadi ujue kuwa mie napaswa kuwaa na quality hii au ile mie hunijui hunilishi ,hunivishi,hunit'xxxxmbi sasa huna right yeyote yakuniambia kitu kawape uhusia wale unao wafuck na kuwa potezea muda na kamshahara kako kanjaa mie sio ligi yako kabisa huniwezi sio kwa matunzo tu wala kwa akili unawaza uzwazwa sasa mie nipo 8g wewe hata 3g hujafika . So please one more acha uchawi sio mzuri . Sasa mf. Ukiombwa 100 ml unayo??? Unayo ml 500 yakufungua hotel sisi hatuwazi kufungua viduka ,hapana ambavyo unawafungulia wapuuzi wako noo miye nawaza big things ndio maana siwezi funuliwa sketi yangu na waanga wanjaa sio humu tu kote niendako so kaa kwa kutulia .
Huna quality za kuwa husband you see no quality na hujui namsema nani. Humu hayupo my hubby hayupo kashatoka kitambo anayewaza 20b sio 1m kama wewe jitahidi ufikie huko kuwa na mtu mwenye uelewa sio lazima akununulie nguo hata mie naweza . Na ukiona tunamichepuko ujue wanauwezo wa 500ml hata ukiiba haoni sasa wewe 5ml unafungua uzi. Tulia bhana
Hao kikubwa pumzi hapana shosti π€£π€£
Hii nyimbo umewaza nini kuiweka π
View: https://youtu.be/FFY_B6PuMA8? si=K7BnBmCJjhhaSPot
I dedicate to my boo my husband to be my lovely only one . I LOVE U SO MUCH
Da mau anachamba ukweli ukweli ujue π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£πMbavu zangu mi
Ila jf
π€£π€£π€£ Wako wengi bana kila mtu abebe furushi lakeAaah wanawake tuko wengi wanaume wachache kwa hiyo mwanaume mmja, wanawake wawili
Humu kuna kila sample za English ni ww tu na dictionary yako π€£π€£π€£Muache ajichanganye na kingreza chake π π π π
Inategemea na nchi mtu alipoHumu kuna kila sample za English ni ww tu na dictionary yako π€£π€£π€£
Humu zipo za kila nchi, ni wewe kuchagua IP address yako isome wapi!! π€£π€£π€£Inategemea na nchi mtu alipo
Kuna kajamba nani jana kamtongoza hubby wangu so akAzani simjui yaani ndio napata kahauweni yeye na videmu vyake vya kipepo na hubby kaniambia hapa kuna mashangingi yanayo winda watu wawatu na wakwao hawapi huduma yakuridhishaHii nyimbo umewaza nini kuiweka π
Ila da maua nahisi Ana nchi ya peke ake we unamuonaje π€£π€£π€£Humu zipo za kila nchi, ni wewe kuchagua IP address yako isome wapi!! π€£π€£π€£
ππππ Anaishi January ya DecemberIla da maua nahisi Ana nchi ya peke ake we unamuonaje π€£π€£π€£
Sawa, naona unajisifia kwa kuuza **** kwa bei ya ghali wakati unatiwa na vitoto vidogo vinakupa buku 2.Hivi wewe ninani hadi ujue kuwa mie napaswa kuwaa na quality hii au ile mie hunijui hunilishi ,hunivishi,hunit'xxxxmbi sasa huna right yeyote yakuniambia kitu kawape uhusia wale unao wafuck na kuwa potezea muda na kamshahara kako kanjaa mie sio ligi yako kabisa huniwezi sio kwa matunzo tu wala kwa akili unawaza uzwazwa sasa mie nipo 8g wewe hata 3g hujafika . So please one more acha uchawi sio mzuri . Sasa mf. Ukiombwa 100 ml unayo??? Unayo ml 500 yakufungua hotel sisi hatuwazi kufungua viduka ,hapana ambavyo unawafungulia wapuuzi wako noo miye nawaza big things ndio maana siwezi funuliwa sketi yangu na waanga wanjaa sio humu tu kote niendako so kaa kwa kutulia .
Huna quality za kuwa husband you see no quality na hujui namsema nani. Humu hayupo my hubby hayupo kashatoka kitambo anayewaza 20b sio 1m kama wewe jitahidi ufikie huko kuwa na mtu mwenye uelewa sio lazima akununulie nguo hata mie naweza . Na ukiona tunamichepuko ujue wanauwezo wa 500ml hata ukiiba haoni sasa wewe 5ml unafungua uzi. Tulia bhana
Madam sometimes ni Bora kufikiri kabla ya kutema empty shits.Intelligent businessman njoo huku umtakie Lovelovie wimbo wa mahaba hatakama hakutaki alikuacha akaenda kwa mjeda sasa mjeda anampa mapenzi yakijeda njoo umpe yale mahaba ya zamani na kile kitambi chako cha mende ,sura kama manati ya kuwindia ndege ,miguu kama toothpick za baa
Wivu gani ??, Tuna u karibu mpaka nimjue???πππππππWivu kama ndugu wa mume Intelligent businessman
I don't give a shit about anyone, hi story ime toka wapi aiseeπ€.Hujamwambia unamblock??
Madam have some self respect Basi, mna andika mada za kijinga.πππππππππππππ Intelligent businessman amesema ananiblock ety hataki mazoea na mimπππππ
π kumbe nna mke na sijui ila majirani nyieUmetishwa na nn? Ww sema ulitaka kujitaja, haya tumeshakujua shemeji π€£π€£π€£π€£
Acha kususa we nusu inteligentMadam have some self respect Basi, mna andika mada za kijinga.
πMna nitag ujinga, Afu bado mna leta skendo za kijinga.
ππππ Khaaaa!! Nani huyo anam-pm shem jamani.?? Dada Joannah isije kuwa ww au bff Missy Gf π€£π€£Kuna kajamba nani jana kamtongoza hubby wangu so akozani simjui yaani ndio napata kahauweni yeye na vidm vyake vya kipepo na hubby kaniambia hapa kuna mashangingi yanayo winda watu wawatu na wakwako hawapi huduma yakuridhisha