Hey Boys! Uongo tu ndio silaha yetu.

Hey Boys! Uongo tu ndio silaha yetu.

Nikhil

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2013
Posts
361
Reaction score
120
Wana Jf habari zenu wote na wanaofunga mwezi mtukufu poleni na swaumu! Ila mwisho wa siku tukaribishane on IDD bhana. Wakuu juu ya uzi huu sijakurupuka ila ni kitu nilichokifanyia uchuguzi . Nimegundukua kuwa silaha kubwa kwetu wavulana katika mchakatro mzima wa kuwatongoza maduu ni Uongo . Nimegundua kuwa wasichana wengi hata awe mgumu au hata katika levels gani kielimu ukitumia uongo yakiwemo maneno ya uongo ya kumsifia huku ahadi kibao usizozitimiza huto I swear UMEMMEGA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom