manuel lucky
Member
- Dec 16, 2014
- 14
- 2
daaah Heslb walah mmeniweza nalazimika kuchelewa kuripot chuo yaan
Wote Mtapata Mikopo.Hakuna Atakaekosa Wadau.Majina Yanapikwa Pale Makao Makuu Helsb Na Batch No 2 itatoka na hapo wote mtatulia.Hapa Kazi Tu..
Wote Mtapata Mikopo.Hakuna Atakaekosa Wadau.Majina Yanapikwa Pale Makao Makuu Helsb Na Batch No 2 itatoka na
apo wote mtatulia.Hapa Kazi Tu..
Magufuli kashaingia Mzigoni ondoa shaka
hapa kazi tuendelea kuwapa moyo wenzako ndugu hakuna cha mkopo hapo. mchezo ndio ushaisha mkuu tarehe 17 magufuli ndio atafungua bunge sasa wewe utaupata huo mkopo lini?
Usilete siasa kwenye maisha ya watuWote Mtapata Mikopo.Hakuna Atakaekosa Wadau.Majina Yanapikwa Pale Makao Makuu Helsb Na Batch No 2 itatoka na hapo wote mtatulia.Hapa Kazi Tu..
Usilete siasa kwenye maisha ya watu
Siasa Gani Na Wameenda Makao Makuu Wameambiwa Batch2 Inaandaliwa.Serikali Sikivu Itawapa Mikopo
Siasa Gani Na Wameenda Makao Makuu Wameambiwa Batch2 Inaandaliwa.Serikali Sikivu Itawapa Mikopo
Tumeipenda wenyewe, chaguo letu milele....Acha waisome namba eee CCM mbele kwa mbele.