K Konzogwe JF-Expert Member Feb 24, 2008 434 155 Oct 3, 2010 #1 Jamani eeh! Nani ana habari toka bodi ya mikopo kuwa lini wataweka mambo hadharani.Nafasi chuo tumepata,sasa tuna hamu kujua ni asilimia ngapi tumepata.
Jamani eeh! Nani ana habari toka bodi ya mikopo kuwa lini wataweka mambo hadharani.Nafasi chuo tumepata,sasa tuna hamu kujua ni asilimia ngapi tumepata.