rba Member Joined Oct 31, 2015 Posts 23 Reaction score 7 Jan 18, 2019 #1 Bodi ya mikopo elimu ya juu imetoa access nyingine kwa ajili ya kulipia Madeni kwa wanufaika wa mkopo.Je,kwa njia hii unaeza lipia mwenyewe yamkini kwa Mpesa na kwenye mshahara wasikate au hii imekaaje?
Bodi ya mikopo elimu ya juu imetoa access nyingine kwa ajili ya kulipia Madeni kwa wanufaika wa mkopo.Je,kwa njia hii unaeza lipia mwenyewe yamkini kwa Mpesa na kwenye mshahara wasikate au hii imekaaje?
Lessor Member Joined Feb 16, 2018 Posts 41 Reaction score 27 Jan 18, 2019 #2 Nimewahi siti leo kwa mara ya kwanza. Ngoja tusubirie wenye taaluma zao za chuo waje Sent using Jamii Forums mobile app
Nimewahi siti leo kwa mara ya kwanza. Ngoja tusubirie wenye taaluma zao za chuo waje Sent using Jamii Forums mobile app
Chabrosy JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 2,636 Reaction score 3,166 Jan 18, 2019 #3 iyo nzuri iyo mm nitalipa Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app