HESLB

Saint Leo

Member
Joined
Nov 9, 2018
Posts
46
Reaction score
57
Ebu tusaidiane hapa,mwaka Jana bodi ya mikopo mwaka Jana ilifungua maombi mwezi wa 8 wakaona wamechelewesha wanafunz kuanza masomo ,this year wakafungua dirisha la maombi mwezi wa 5 ili kwenda na mda na wanafunz wawai masomo,cha ajabu mpaka Leo batch azijaisha ukizingatia kuna kundi kubwa la wanafunz wapo nyumbani wanasubiria hatma yao wataenda chuo au la!mim mwenyew nikiwa mmoja wapo
Swali langu tunaenda wapi? Na je tutafika ?BODI mutuhurumie hatuna la kufanya nyinyi ndo tegemezi letu🙏🙏🙏
 
Jana bodi imetoa majina ya batch ya 3 , waliahid watatoa mkopo kwa wanafunz ef 40 (69%) na wameifikisha bro.
Kama wataongeza majina mengne basi ni machache sana tena kwa wenye special case .nakushauri Anza kujiandaa uende chuo mdgo wang serikal yetu bado haijaweza kutoa mkopo kwa wanafunz wote ( budget is limited ).
 
mkuu unamaanisha ndo batch zmeishia hizo? maana mwaka jana batch zilienda mpaka ya saba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…