Ilitutokea 2016 udsm majina ya mara ya kwanza mimi na wenzangu tulipewa 100 percnt baada ya wiki moja tukasikia majina mapya yametoka kwenda kuangalia wengine wamepata asilimia 0 wengine majina hayapo kabisa daa inauma sana.
Ila jaribu kufatilia pia ikiwezekana wahi chuoni uendee kwa afisa mikopo atakusaidia haraka utapatiwa mkopo wako.
SFR ni special faculty requirement
FPT ni field practical training ( pesa ya kwenda kujikimu ukienda field )
RESEARCH ni pesa ya kugharamia research kama utafanya..
Hizo pesa zote zitaingizwa kwenye acc yako ya bank except tuition fees ndo italipwa moja kwa moja kwny acc ya chuo husika.