HESLB watoa awamu ya tatu ya mikopo 2015/16

Evari77

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
631
628
Check kwenye Web yao kama umepata mkopo awamu ya tatu

 

Attachments

  • HESLB.png
    6.3 KB · Views: 1,499
oya mkuu wasema kweliii ?? source ya hii ni wap mkuu
maana mm nliambiwa eeti 3rd lot ni hadi kesho ijumaa
Sasa source ya nini wakati kakwambia ingia kwenye web ya bodi ufanye yako,na wala adanganyi ni kweli
 
Asante mungu kidogo changu hatimae nae kapata....pongezi kwa ukawa kwa kutia presha serikali sasa imeanza kujielewa
 
S0125.0167.2007 Msaada pliz


Index Number: S0125.0167.2007
Institution: SAUTARUSHA
Course: BAED
Year of Study:1
Loan Breakdown

Meals and Accommodation (MA)2,099,500
Books And Stationary (BS)200,000
Field Practical and Trainings (FPT)620,000
Tuition Fee1,020,000
Research0
Special Faculty Requirements (SFR)60,000
TOTAL AMOUNT3,999,500
-->
 

thnks mkuu God iz Great
 
Jana nimepost nikihoji LOT 3 itatoka lini imetoka baada ya kuangalia still.............The student with Index number 'S0204.0045.2011' did not secure a higher education loan for 2015/16 academic year in the Lots 1, 2 & 3 (New) of allocations.Nimeishiwa nguvu,nimekata tamaa naomba sasa WAHUSIKA WA BODI wajitokeze hadharani na waruhusu maswali ya moja kwa moja.Chuo kimefunguliwa tangu trh 9 NOV 2015 na wenzangu wamekwisha anza masomo.

 

Msaada S2652/0102/2012
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…