nyakandula JF-Expert Member Joined Jul 26, 2016 Posts 1,251 Reaction score 1,735 Dec 9, 2016 #1 Nimepata taarifa kutok baadh ya wanafunz wa chuo flan walikwisha appeal mapem mno BAADA YA tangazo la heslb kwamba sas hiv washapewa mikopo, ningependa kujua km wapo humu nipate uthibitisho km kwel au la! Navojua deadline ni January
Nimepata taarifa kutok baadh ya wanafunz wa chuo flan walikwisha appeal mapem mno BAADA YA tangazo la heslb kwamba sas hiv washapewa mikopo, ningependa kujua km wapo humu nipate uthibitisho km kwel au la! Navojua deadline ni January
Chichmoore Member Joined Jan 30, 2013 Posts 85 Reaction score 26 Dec 10, 2016 #3 Hapana. siyo taarifa za kweli.
B Bacary Superior JF-Expert Member Joined Jul 3, 2014 Posts 3,721 Reaction score 1,515 Dec 10, 2016 #4 Jipeni imani hela tulizi allocate kwenye sherehe za Uhuru kwahyo msubiri mpaka tukusanye kodi tujue tunawapa au hamupati
Jipeni imani hela tulizi allocate kwenye sherehe za Uhuru kwahyo msubiri mpaka tukusanye kodi tujue tunawapa au hamupati
N Nchemwaalex Member Joined Nov 29, 2016 Posts 11 Reaction score 1 Dec 10, 2016 #5 Mmmmh.. soma namba kwanza.
F faraja97 New Member Joined Dec 7, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Dec 10, 2016 #6 Kuna private candidate yoyote kapata mkopo kweli? Kwenye zile coz za kipaumbele au ndo vile tena majanga
Kuna private candidate yoyote kapata mkopo kweli? Kwenye zile coz za kipaumbele au ndo vile tena majanga