HESLB + TCU+VYUO-APPLICANTS=complaints | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HESLB + TCU+VYUO-APPLICANTS=complaints

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dodoso, Sep 18, 2012.

 1. d

  dodoso Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mnalalamika nini ndugu zangu? unatangaza kuwa una kuku 100 ambao hawajaanguliwa kumbe mayai yenyewe viza, waacheni wafanye kazi zao muda ukifika tutajua kama tuna kuku au la, tusipotoshane kwa vyanzo hewa na kusabishiana matatizo, ona sasa mdogo wangu Perry tangu juzi hajala kisa HESLB, leo kalazwa hospitali na vipimo havionyeshi ugonjwa wowote. acheni jamani
   
 2. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  thread hii haina jipya tena
   
 3. b

  bungbung Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  real? Wale wale
   
Loading...