HESLB siwaelewi katika ili

HESLB siwaelewi katika ili

kalipeni

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
1,585
Reaction score
1,348
nikiingia kwenye account yangu naambiwa "didn't apply higher education students loan board 2016/17 sasa Kama sikuomba nawezaje kulog in kwenye account Yangu mwenye uelewa na ili anisaidie plz.
 
INGIA KWENYE MTANDAO OLAMS HALAFU BONYEZA HAPO KWENYE RED
Karibu!
Please read the Application Guidelines for 2016/17 before applying. Click here

List Of Applicants to Correct Necessary Information in Their Loan Applications. Click here
 
nikiingia kwenye account yangu naambiwa "didn't apply higher education students loan board 2016/17 sasa Kama sikuomba nawezaje kulog in kwenye account Yangu mwenye uelewa na ili anisaidie plz.

ondoa wasiwasi mkuu me mwenyewe nimeandikiwa hivo ila nikiingiza index namba yangu wananiandikia "your loan application form is complete.No problem were found" sa umeona mambo hayo yani eti siku apply and at the same time fomu yangu haina tatizo lolote.
 
Back
Top Bottom